ANGALIA RAISI MTEULE WA MAREKANI DONALD TRUMPLE ALIVYOTOA PESA KUFUTA KESI - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, November 19

ANGALIA RAISI MTEULE WA MAREKANI DONALD TRUMPLE ALIVYOTOA PESA KUFUTA KESI

Wakili wa rais mteule wa Marekani Donald Trump ametatua kesi ya mamilioni ya madola iliyokuwa inamkabili mteja wake ili apate nafasi ya kutekeleza majukumu yake mapya na kuangazia changamoto zinazoikabili Marekani.
Image result for TRUMPLE
Trump alikuwa ameshtakiwa na wanafunzi wa zamani kwa ubadhirifu wa pesa katika chuo kikuu cha Trump,ambapo wanafunzi walilipa maelfu ya madola kwa masomo baada ya kuhadaiwa kwamba watafunzwa siri juu ya uwekezaji
Rais huyo mteule amekuwa akikanusha madai hayo lakini hatimaye ameamua kulipa dola milioni ishirini na tano ili kumaliza kesi hiyo. Mpango huo hata hivyo haumuhitaji kukiri kwamba alifanya makosa.
Source:BBC

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here