SIRI YA HANS POPE KUHUSU USAJIRI WA OKWI HUU HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, November 17

SIRI YA HANS POPE KUHUSU USAJIRI WA OKWI HUU HAPA

NA ANAEL JAMES WAZIRITALL

Kumekuwa na habari zilizozagaa wiki kadhaa kuwa mshambuliaji wa zamani wa Simba SC Emanuel Okwi kurejea katika kikosi chake cha zamani wana msimbazi.
Image result for mwenyekiti usajili simba

Habari hizo zimekanushwa na Mwenyekiti wa kamati ya usajiri Simba Hans Pope na kusema kuwa hizo taarifa hazipo na zimezagaa tu katika magazeti na mitandao ya kijamii lakini uongozi haujui wala haujaweka wazi wala tetesi zozote kuhusu OKWI na vile vile ameongeza kwa kusema mashabiki wasubiri kesho baada ya kikao ndipo watakuwa na majibu kamili.

Klabu ya SIMBA kesho itakuwa na mkutano wa kujadili mambo mbali mbali yanayokabili timu yao.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here