MANCHESTER UNITED YAZIPIGA CHINI REAL MADRID NA FC BARCELONA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, October 6

MANCHESTER UNITED YAZIPIGA CHINI REAL MADRID NA FC BARCELONA

NA ANAEL JAMES WAZIRITALL

Klabu ya Machester United imezipiku klabu tajiri Duniani ikiwemo Real Madrid na FC Barcelona katika thamani ya kikosi .


Mashetani wekundu hao wa Old Trafford wamepanda juu baada ya kuwachukua wachezaji watatu katika dirisha la usajiri kwa bei za juu ikiwemo kwa Paul Pogba aliyevunja rekodi ya Usajiri wengine ni Winga tereza Henrikh Mikhitaryan na Eric Bailly  na kwa jumla ya kikosi kizima kupatikiana  pauni milioni 628 ambazo ni thamani ya jumla ya kikosi kizima cha United.

Thamani hiyo ya juu zaidi inawafanya' RED DEVILS' hao kuwa na kikosi ghali zaidi kwenye historia ya soka wakizipiku Real Madrid(552) na Barcelona(532)

THAMANI YA VIKOSI VYA LIGI KUU ENGLAND (pauni milioni)
1.MANCHESTER UNITED-628
2.MANCHESTER CITY-532
3.CHELSEA-419
4.ARSENAL-332 
5.LIVERPOOL-310
6.TOTTHENHAM-239
7.EVERTON-184
8.WESTHAM-171
9.SOUTHAMPTON-158
10.CRYSTAL PALACE-131
11.LEICESTER CITY-113
12.STOKE CITY-104
13.SUNDERLAND-91
14.SWANSEA CITY-83
15.BOURNEMOUTH-83
16.WATFORD-81
17.HULL CITY-75
18.WEST BROM-70
19.MIDDLESBROUGH-54
20.BURNLEY-48
  

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here