Dani Alves ajiunga PSG aitosa manchester city - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, July 13

Dani Alves ajiunga PSG aitosa manchester city


Hatimaye mlinzi wa kulia wa kimataifa wa Brazil Dani Alves ameipiga chini ofa ya Manchester City na kukubali kujiunga na klabu ya Paris Saint-Germain ya Ligue 1 akiwa mchezaji huru takribani siku 378 baada ya kujiunga Juventus.

Dani Alves, mwenye umri wa 34, alikaribia kuungana na meneja wake wa zamani alipokuwa Barcelona Pep Guardiola katika dimba la Etihad, lakini ghafla alibadili mawazo na kutua PSG ambayo ilitoa ofa ya mshahara wa paundi 230,000 kwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here