Sudan Kusini: Majaji 13 wafutwa kazi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, July 13

Sudan Kusini: Majaji 13 wafutwa kazi


Majaji wapatao 13 wamefukuzwa kazi nchini Sudan Kusini baada ya kugoma kwa miezi kadhaa wakidai mazingira bora ya kufanyia kazi.

Jaji mmoja Mwandamizi nchini humo amethibitisha kufukuzwa kazi kwa majaji hao ambao mbali ya kudai maslahi bora walitaka pia kufukuzwa kazi kwa Jaji Mkuu Chan Reech.

Kwa mujibu ya Eye Radio, Rais Salva Kiir, alitoa taarifa ya kuwafuta kazi majaji hao bila kutoa sababu .Hata hivyo majaji waliofukuzwa kazi hawakutajwa majina yao kwa hofu ya usalama wao binafsi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here