ANGALIA MATOKEO YOTE YA LIGI KUU ENGLAND NA MSIMAMO WA LIGI NA RATIBA YA MICHEZO WIKI IJAYO,HABARI ZOTE HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, December 11

ANGALIA MATOKEO YOTE YA LIGI KUU ENGLAND NA MSIMAMO WA LIGI NA RATIBA YA MICHEZO WIKI IJAYO,HABARI ZOTE HAPA

Chelsea 1 West Bromwich Albion 0        
Manchester United 1 Tottenham Hotspur 0       
Southampton 1 Middlesbrough 10
Liverpool 2 West Ham United 2

 Makosa ya Makipa hii Leo yameifanya Mechi ya EPL, Ligi Kuu England, iliyochezwa Anfield kati ya Liverpool na West Ham United imalizike kwa Sare ya 2-2 ambayo imewakwamua West Ham kutoka zile Timu 3 za mwisho mkiani huku Liverpool ikiwa Nafasi ya 3.
 
Liverpool walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 5 la Adam Lallana na West Ham kujibu kwa Frikiki ya Dakika ya 27 Dimitri Payet na kupiga Bao la Pili Dakika ya 39 upitia Michail Antonio.
Kosa kubwa la Kipa wa West Ham Darren Randolph kutema Krosi iliyomfikia Divock Origi aliefunga kilaini katika Dakika ya 48 na kuwapa Sare Liverpool.
 EPL-DES11B

LIGI KUU ENGLAND
Ratiba:
Saa za afrika mashariki
Jumanne Desemba 13
2245 Bournemouth v Leicester City       
2245 Everton v Arsenal     
Jumatano Desemba 14
2245 Middlesbrough v Liverpool  
2245 Sunderland v Chelsea         
2240 West Ham United v Burnley
2300 Crystal Palace v Manchester United
2300 Manchester City v Watford            
2300 Stoke City v Southampton            
2300 Tottenham Hotspur v Hull City               
2300 West Bromwich Albion v Swansea City 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here