Yanga itacheza mchezo wake wa kwanza wa Mapinduzi Cup kesho dhidi ya Jamhuri saa 2:15 usiku.
Leo zitachezwa mechi mbili, mchezo wa kwanza ni kati ya KVZ vs URA utakaochezwa saa 10:00 jioni huku mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Simba vs Taifa Jang’ombe ambao utaanza majira ya saa 2:15 usiku.
No comments:
Post a Comment