Je wajua mambo yafuatayo, soma ujue maajabu ya duniani - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, June 18

Je wajua mambo yafuatayo, soma ujue maajabu ya duniani

1. Mbu wanafurahi sana kuuchezea mwili wa mtu aliyetoka kula ndizi

2. Wanaume wa calibri huko kusini mwa australia husalimiana kwa kutingishana sehemu zao za siri badala ya mikono

3. Wakati wa mazishi ya mgunduzi wa simu sir alexander graham bell mitambo yote ya simu marekani ilizimwa kwa dakika moja.

4. Kanisa katoliki limeweka historia ya kuwa na mtakatifu alyekuwa na uwezo wa kuonekana sehemu mbili kwa wakati mmoja (mult location)

5. Ulaji wa ini la kuku mara kwa mara laweza kubadilisha group la damu toka group a kwenda o.

6. Wanadamu wote tunaongezeka urefu sentimita moja kila asubuhi na kurudi katika hali ya kawaida kadri muda unavyozidi kusogea.

7. Ng'ombe huongeza utoaji wa maziwa wanaposikiliza muziki ukiwa jirani na wanapokamuliwa.

8. Mbu ana meno 47.

9. Tembo anasikia sana ukiongea kwa sauti ya chini.

10. Simba akiwa jirani akinguruma sauti yake husikika kama mtu anayepiga debe au bati.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here