Msanii chipukizi wa mziki wa kizazi kipya (bongo fleva) baraka almahalufu kama back ommy amefunguka na kusema kuwa ngoma mpya ya my love inafika mbali na kumfanya avunje rekodi.
akizungumza na MkweliTz Blog back Ommy amefunguka na kusema kuwa anaamini ngoma hii ni kali na inastaili kupata tuzo ya BET
Aliongeza na kusma kuwa kama ngoma isipofanya vizuri basi ni mkono wa mtu au wadau watakuwa wamembania tu,"Hii ngoma ni kali sana na nmeifanya zaidi ya miezi mitatu namanisha kurekodi,na kufanyiwa masteringi na nina imanin itanifikisha mbali kwa kuwa ni kali na video inakuja karibuni



No comments:
Post a Comment