Hizi hapa Shule zilizoshika Mkia - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 15

Hizi hapa Shule zilizoshika Mkia




Shule hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba), Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).

Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)

 Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Mbeya (Mbeya), Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).

 0      

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here