John Terry ashukiwa na bahati Aston Villa - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 15

John Terry ashukiwa na bahati Aston Villa


Klabu ya Aston Villa imempa unahodha John Terry ambaye amejiunga katika dirisha hili la usajili akitokea Chelsea.

Unahodha huo ameuchukua kutoka kwa aliyekuwa nahodha wa timu hiyo James Chester.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here