TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na mkewe - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, July 16

TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na mkewe


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba wa kufiwa na mke wake Bi. Linah George Mwakyembe usiku wa kuamkia leo.

Bi. Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu hadi umauti  ulipomkuta.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here