Majeruhi na waliouawa walikuwa ndani ya ubalozi huo kabla ya risasi kufyatuliwa.
Kwa mujibu wa BBC Swahili, vikosi vya usalama vimezingira ubalozi huo na utawala wa Israel umewahamisha wafanyakazi wake.
Ufyatuaji huo wa risasi ulitokea katika jengo moja linalotumiwa na ubalozi wa Israel eneo ambalo linatajwa kuwa na ulinzi mkali zaidi.



No comments:
Post a Comment