Mvua zasababisha maafa Sierra Leon - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, August 15

Mvua zasababisha maafa Sierra Leon



Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo na mafuriko katika mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, imeongezeka na kufikia zaidi ya watu mia tatu.

Jitihada za kuokoa zilisitishwa kwa muda baada ya giza kuingia, Rais Ernest Bai Koroma amesema kupitia televisheni kwamba vituo vya dharura vimewekwa ili kukabiliana na kile alichokiita janga la taifa.

Shirika la Msabala mwekundu limesema inakadiriwa zaidi ya watu laki tatu wamepoteza makazi yao.
Eneo lililoathirika zaidi wilaya ya Regent iliyopo pembezoni mwa mji wa Freetown baada ya mlima uliojaa maji kuporomoka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here