DE ROSSI HATARINI - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, September 6

DE ROSSI HATARINI

Na Anael James Waziri_Tall

KLABU ya AS Roma inatarajiwa kumfanyia vipimo zaidi Daniele De Rossi baada ya kiungo huyo kuumia msuli wa kigimbi wakati akiwa katika majukumu ya kimataifa na Italia.
De Rossi alitolewa katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa wa waliofungw amabao 3-1 na Ufaransa Alhamisi iliyopita na alitarajiwa kufanyiwa vipimo zaidi leo ili kujua ukubwa wa tatizo linalomkabili.

Katika taarifa yake klabu hiyo ya Serie A imedai itaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya nyota huyo itakavyokuwa. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 33 ameichezea Italia mechi 107 na kufunga mabao 18.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here