AZAM YAPATA JEMBE JIPYAA,ASAINI KUITUMIKIA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, November 12

AZAM YAPATA JEMBE JIPYAA,ASAINI KUITUMIKIA

NA ANAEL JAMES WAZIRI_TALL

Mabingwa wa Afrika mashariki Azam FC wamepata mchezaji mpya Enock Atta Agyei kutoka nchini Ghana mwenye uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo na pia katika ushambuliaji.
 

Nyota huyo aliye katika Timu ya Taifa chini ya miaka 17 nchini Ghana
Azam FC wamekubaliana na mchezaji huyo kwa kuwa wameridhika na uweko wake tangu alivyotua katika uwanja wao wa Azam Complex jijini Dar es salaam.

Mbali na hapo kuna baadhi ya wachezaji wapo katika majaribio na muda wowote watasaini kukipiga katika timu hiyo ya Azam FC.


Lengo la kufanya hivyo ni kuwafurahisha mashabiki wa timu yetu na kujiweka katika sehemu nzuri ya ubingwa (Ulisema uongozi wa Azam FC).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here