ROONEY AAHIDI KUTOA JEZI KWA KIJANA ALIYEUGUA SARATANI - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, November 13

ROONEY AAHIDI KUTOA JEZI KWA KIJANA ALIYEUGUA SARATANI

NA ANAEL JAMES WAZIRI_TALL
Nyota wa timu ya soka ya Uingereza Wayne Rooney ameahidi kumpatia jezi yake mtoto anayeugua kufuatia ushindi dhidi Scotland England.
Kasabian Newton-Smith
Kijana huyo amekuwa akifanyiwa kampeni katika mitandao ya kijamii.
Kasabian Newton-Smith mwenye umri wa miaka 8 kutoka Sheffield alipatikana na saratani alipokuwa mchanga na sasa ana uvimbe mara mbili katika kichwa chake.
Klabu za soka,wachezaji na watu binafsi wametakiwa kuchapisha ujumbe wa Twitter #1LastSmile4Kasabian.
Katika ujumbe wa kanda ya video,nahodha huyo wa Uingereza alisema kuwa wachezaji wenzake wanajivunia na ujasiri ulioonyeshwa na Kasabian.
Wayne Rooney in action against Scotland

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here