KIUNGO WA SIMBA SC MUZAMIRU YASSIN AWAPIGA CHINI KICHUYA NA TSHABALALA,SOMA ZAIDI - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, December 15

KIUNGO WA SIMBA SC MUZAMIRU YASSIN AWAPIGA CHINI KICHUYA NA TSHABALALA,SOMA ZAIDI

Image result for MUZAMIRU YASSIN
Kiungo Muzamiru Yassin amekuwa mwanasoka bora wa klabu ya Simba kwa mwezi Oktoba.

Muzamiru amekabidhiwa tuzo yake leo mbele ya wachezaju wenzake huku akifanya kazi ya kumkabidhi akiwa ni Kocha Joseph Omog.


Pamoja na kumkabidhi tuzo hiyo, Omog pia alitoa mkwanja taslimu Sh 500,000 kwa mchezaji huyo ikiwa ni sehemu ya zawadi iliyotolewa na uongozi wa klabu ya Simba kwa kushirikiana na Kampuni ya AMG ambayo hufanya zoezi hilo.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here