ANGALIA HAPA WANACHOKIFANYA YANGA SC KWA AJILI YA MAPINDUZI CUP - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, January 1

ANGALIA HAPA WANACHOKIFANYA YANGA SC KWA AJILI YA MAPINDUZI CUP

dsc_0359Baada ya kikosi cha Yanga kuwasili jana visiwani Zanzibar, leo Janury 1 kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Kianga kujiandaa na mashindano ya Mapinduzi Cup yaliyoanza rasmi December 30.
Yanga itacheza mchezo wake wa kwanza wa Mapinduzi Cup kesho dhidi ya Jamhuri saa 2:15 usiku.dsc_0489


Leo zitachezwa mechi mbili, mchezo wa kwanza ni kati ya KVZ vs URA utakaochezwa saa 10:00 jioni huku mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Simba vs Taifa Jang’ombe ambao utaanza majira ya saa 2:15 usiku.
dsc_0466dsc_0329

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here