Meneja wa mwanamuziki wa bongo fleva ommy dmpoz almaharufu kama Mubnga amekumbana nadeni la pesa na dada wakichina leo.
Mubenga anadaiwa aliacha oda ya kufanyiwa printi ya kofia aina ya cape uko nchini china na kutomkomea bila kulipa hata nusu ya ghalama
Akizungumza kwa njia ya simu dada uyo w kichina alidai mubenga aliweka oda kubwa ya mzigo na kudai atakuja kulipa lakini mpaka saiz hajatoe kulipa mzigo huo na yeye kaamua kuuza mzigo uwo.
Mubenga kwa upande wake amefunguka na kusema kuwa hadaiwi bali mzigo wote alisgalipa na kuna baadhi ya mzigo aliwapa kama zawadi wakazi wa china baada y akumpa mchongo wa biashara.
"Hakuna mtu anayenidi wala nini na yule dada nilishamlipa pesa yake yote ila kwa kuwa ana namba yangu na mimi ninayo ya kwake nitamtafuta na tutayazungumza.
Aliyasema ayo leo akizungumza kwa njia ya simu katika kipindi cha U heald cha kituo cha redio cha Clouds Fm.
No comments:
Post a Comment