Kansela wa zamani wa Ujerumani afariki - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, June 17

Kansela wa zamani wa Ujerumani afariki


Kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 87 .

Kohl ni kiongozi wa aliyechangia katika kuunganisha Ujerumani na Umoja wa Ulaya baada ya vita baridi .

Kohl ameripotiwa kufariki akiwa katika nyumba yake maeneo ya Ludwigshafen.

Kiongozi huyo amekuwa akihudumia Ujerumani tangu mwaka 1982 hadi mwaka 1998 .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here