Everton yaifunga Gor Mahia 2 - 1 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, July 13

Everton yaifunga Gor Mahia 2 - 1


Mpira umekwisha kwa Everton kushinda bao 2-1, magoli yakifungwa na Rooney dakika ya 35 kabla  Tuyisenge wa Gor Mahia kusawazisha dakika mbili baadaye. Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here