Shabiki aingia katikati ya uwanja kumkumbatia Wayne Rooney - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, July 13

Shabiki aingia katikati ya uwanja kumkumbatia Wayne Rooney


Shabiki mmoja ashindwa kuvumilia na kuamua kuingia kiwanjani kwenda kumsalimia Wayne Rooney.

Mshabiki huyo ambaye alivalia jezi ya Man United aliingia uwanjani na kufanikiwa kumkumbatia mchezaji huyo wa Everton kabala ya kutolewa na askari.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here