Na Anael James
Jamii imeombwa kuwashirikisha watu wenye ualbino katika shughuli mbalimbali za kijamii zitakazowawezwesha kujikwamu kiuchumi ili kuondokana na kuwepo na tabaka kati ya watu wenye ualbino
Hayo yamebainishwa na mratibu wa chama cha watu wenye ualbino mkoa wa Shinyanga LAZARO ANAEL jana tarehe 25 mwezi huu wa Novemba wakati akizungumza na wasikilizaji wa Redio Faraja katika viwanja vya ofisi ya mtendaji kata ya Chibe wilaya ya Shinyanga.
Na vilevile aliuthibitishia umma kuwa ualbino upo kila sehemu ambapo kuna wanyama wenye ualbino wakiweno mamba,mimea,twiga,farasi NK
Amesema Zaidi kuwa jamii inapaswa kuwashirikisha watu wenye ualbino katika shughuli mbalimbali za kiujamii ikiwemo ujasiliamali ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi,.
No comments:
Post a Comment