AJALI MBAYA YATOKEA JIJINI MBEYA,MAGALI ZAIDI YA MAWILI YAHUSIKA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, December 8

AJALI MBAYA YATOKEA JIJINI MBEYA,MAGALI ZAIDI YA MAWILI YAHUSIKA

                       

Ajali ya barabarani imetokea leo asubuhi eneo la Igurusi mkoani Mbeya ikiwa imehusisha basi la abiria mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya mizigo na gari jingine dogo.Basi hilo la abiria hufanya safari zake kati ta Tunduma na Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi bado halijatoa taarifa kuhusu chanzo cha ajali hiyo na kama kuna watu waliofariki  kutokana na ajal hiyo. 
                         
                            

                         


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here