Mara baada ya Raisi wa klabu ya wekundu wa msimbazi SIMBA SC Evans Aveva kuketi na wenyeviti wa matawi ya Simba kujadiliana juu ya mkutano mkuu wa klabu hiyo utakaofanyikia tarehe 11 mwezi huu katika ukumbi wa bwalo la maofisa wa polisi Ofisasmess jijinio Dar es salaam na kukubaliana kwamba kauli ya wadhamini wa klabu hiyo wakiongozwa na mzee Hamisi Kilowoni ya kuuomba mkutano huo kutokana na sababu mbalimbali.
Tayari wanachana wa SIMBA wamegawanyika huku wengine wakiridhia kufanyika kwa mkutano huo.
Na vijana wa timu hiyo wenyewe wametoa ushauri kwa wanachama watakao shiriki kwenye mkutano huo kujitokeza kwa wingi.
wakati makamu mwenyekiti wa Vijana wa SIMBA SC Abeid King amesisitiza vijana wa Simba wawe na msimamo na kutowaachia wazee kuamua kilakitu kwenye klabu hiyo kwakuwa wao ndio Taifa na kizazi Tegemewa.
No comments:
Post a Comment