NA SALUM
ABOUD.
WAGHANA
WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KUPIGA KURA.
Mamia ya
watu nchini Ghana wamejitokeza kwa wingi kwenye upigaji kura uliofanyika leo
katika kuchagua wabunge na maraisi nchini humo
.
Viongozi
mbalimbali wamesifu hatua hiyo ya muuitikio wa wananchi kuaamua kwenda kwa
wingi kupiga kura.
Aidha
wachambuzi mbalimbali ndani na nje ya nchi wamesema kuwa uchaguzi huo utakuwa
wa ushindani mkubwa kwani nchi hiyo imekuwa ikikumbwa na balaa kubwa la rushwa
na kushuka kwa uchumi.
Kumeshuhudia
ghasia mbalimbali kuelekea katika uchaguzi huo mkuuu lakini ushindani mkubwa umeonekana
kati ya Raisi John Mahama na Kiongozi wa upinzani muda mrefu Nana Akufo Addo.
No comments:
Post a Comment