Breaking News: Mbunge huyu afariki dunia - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Wednesday, May 31

Breaking News: Mbunge huyu afariki dunia


Dodoma. Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi.

Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.

 Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Ndesamburo zitaendelea kukujia.

1 comment:

Post Top Ad

Responsive Ads Here