Ivan Don Azikwa na Mamilion ya Pesa Kaburini - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, May 30

Ivan Don Azikwa na Mamilion ya Pesa Kaburini



 KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya maiti kuwekwa....!! Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo ingebidi hlo kaburi lilindwe hata miez mitatu mpaka hzo pesa ziharibike kwa joto maana la sivyo watu wangemfukuaje!..yaan asubh mwil ungekutwa pembeni..pesa ilivyongumu jamani

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here