PICHA: ujumbe mzito alioandika rayvanny baada ya kupost picha ya mtoto wake kwa mara ya kwanza - MKWELITZ BLOG

.

demo-image-Recovered

.

Capture

Wednesday, May 31

PICHA: ujumbe mzito alioandika rayvanny baada ya kupost picha ya mtoto wake kwa mara ya kwanza


14052223_293260374366992_1495755330_n

 Mwimbaji staa wa Bongofleva kutoka WCB Rayvanny leo May 31, 2017 kupitia account yake ya Instagram kwa mara ya kwanza amepost picha ya mtoto wake Jaydan ikiwa ni kumtambulisha kwa mashabiki wake.

Capturem
Rayvanny aliandika kwenye picha hiyo:>>>“Mungu Akukukuze Mwanangu, Katika Mema na Mafanikio Katika Maisha Yako.Wewe Nifuraha Yangu Na pia Wewe Ndio sababu Ya Mimi kumwaga Jasho Nakufanya Kazi kwa Bidii Kila Siku. Ni bora Nikose Vyote Lakini Sio Wewe Mwanangu. I LOVE YOU SON” – Rayvanny


Capturemnbv

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad