Sababu 5 zinazoweza kuchangia hedhi yako kuchelewa kuiona - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Wednesday, May 31

Sababu 5 zinazoweza kuchangia hedhi yako kuchelewa kuiona




Wasichana wengi huanza kutawaliwa na hofu kila wanapoona wakati wa kuonda siku zao (hedhi) umefika halafu hawaoni hali ikijitokeza.

Wengi wanapoona hali hiyo mawazo yao yote hueleka kuwa wameshashika ujauzito, lakini kumbe hali hiyo huweza kutokea kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo hizi hapa 5 chini;-

1. Huweza kuwa ni mabadiliko ya homoni mwilini

2. Mabadiliko ya uzito wa mwili

3. Msongo wa mawazo

4. Mpangilio au mabadiliko ya mlo

5. Maambukizi kwenye via vya uzazi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here