Msajiri wa zahanati nchini Dk. Pamela Sawa sambamba na hilo pia ametaja makosa yaliyopo yanayobainika kwa baadhi ya zahanati binafsi kuwa ni pamoja na kuwa na mahabara zisizo na sifa stahiki kwa kutoa vipimo feki na dawa zisizoendana ugonjwa halisia huku baadhi yao kutumia watumishi wasio na sifa huku akishutumu mamlaka za manispaa na wilaya kupitia waganga wakuu wake kushindwa kusimamia sheria.

No comments:
Post a Comment