Habari za hivi punde: Mkuu wa Majeshi aahirisha ziara yake Kibiti - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, June 22

Habari za hivi punde: Mkuu wa Majeshi aahirisha ziara yake Kibiti


Pwani. Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo ameahirisha kufanya mazungumzo na wazee wa Kibiti.

Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Gullamuhusein Kifu amesema ni kutokana na mkuu huyo kupangiwa majukumu mengine ya kikazi.b


Awali, Mabeyo alitarajiwa kufika Kibiti kufanya mazungumzo na wazee kwa ajili ya kuimarisha hali ya usalama mkoani humo ambamo kumekuwa na mfululizo wa mauaji hasa ya viongozi wa vijiji.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here