MASHINDANO MAKUBWA YA KUHIFADHI NA KUSOMA QUR'AN TUKUFU - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, June 1

MASHINDANO MAKUBWA YA KUHIFADHI NA KUSOMA QUR'AN TUKUFU



Taasisi ya Asw haabul Kahfi Islamic Center ya Yombo vituka Temeke Dsm inawaalika waislaam wote kuhudhuria katika Mashindano Makubwa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'an Tukufu yatakayofanyika tarehe 04/06/2017 siku ya jumapili kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana  katika Viwanja vya Masjid Islamic  Yombo vituka(Malawi)
Masheikh na viongozi mbalimbali watahudhuria
Tukio hili sio la kukosa , Mtaalifu muislaam mwenzako popote alipo

Kwa mawasiliano zaid piga 0766666655au 0655569510 au  0713216302

     Karibuni Sana

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here