Mifupa ya Garrincha wa Brazil haijulikani ilipo - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, June 1

Mifupa ya Garrincha wa Brazil haijulikani ilipo


MkweliTz
Vyombo vya habari nchini Brazil vinasema kuwa mifupa ya gwiji wa zamani wa soka nchini humo Manuel Francisco dos Santos maarufu kama Garrincha, inaweza kuwa imepotea zaidi ya miongo mitatu baada ya kifo chake akiwa na miaka 49.

Kuna makaburi mawili ambayo yote yana majina yakemjini Rio de Janeiro lakini inawezekana kati ya hayo hakuna hata moja ambalo ni lake.

Mmoja wa wahifadhi wa makaburi hayo anasma kuwa mifupa yake inaweza kuwa ilihamishwa miaka kadhaa iliyopita ila haijulikani wapi haswa ilipelekwa.


Garrincha mpinzani mkubwa wa Pele wa ni nani zaidi katika historia ya soka kwa nchi hiyo,aliisaidia nchi yake kutwaa kombe la dunia mwaka 1958 na 1962.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here