Tazama Jezi mpya za Man City watakazo tumia msimu wa 2017/18 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, June 1

Tazama Jezi mpya za Man City watakazo tumia msimu wa 2017/18


 Manchester City wala hawajataka kuchelewa, mapemaa wameamua kuweka hadharani uzi wao mpya wa msimu wa 2017-18.

Uzi huo kwa vikosi vyote, yaani timu kubwa ya wanaume na wanawake, vijana na zile za watoto sasa uko hadharani.

Uzi waliouanika Man City ni ule wa blue bahari ambao unajulikana kama "Jezi za Nyumbani".



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here