Mtangazaji wa Azam Tv Fatna Ramole aliyeripotiwa kutoweka tangu Juzi Alhamisi ameripotiwa na ndugu yake Lulu Remole.
Lulu amethibitisha kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kuwashukuru waungwana walishirikiana kumtafuta Dada yake.
"Asante wote kwa ushirikiano wenu, Mungu mkubwa tumepata taarifa na tukaweza kumpata Fatna.Bila RT zenu nisingepigiwa na huyo Dada. Mbarikiwe" - Lulu
Lulu aliripoti na kuujuza umma kupitia mitandao ya kijamii kuwa Dada yake hajaonekana kwa muda wa saa 48.
No comments:
Post a Comment