Feza Girls yashika nafasi ya kwanza matokeo kidato cha sita - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 15

Feza Girls yashika nafasi ya kwanza matokeo kidato cha sita


Zanzibar.  Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo Jumamosi, Julai 15 huku shule ya Wasichana ya Feza Girls ikiibuka kinara kwa watahiniwa wake 67 kufaulu kwa kupata daraja la kwanza na la pili.

Shule nyingine zilizoibuka kidedea katika matokeo hayo ni Marian Boys, iliyoshika nafasi ya pili, Kisimiri (Arusha) imeshika nafasi ya tatu na Ahmes (Pwani) imeshika nafasi ya nne.

 Shule nyingine  ni  Marian  Girls (Pwani) iliyoshika nafasi ya tano, Mzumbe (Morogoro) nafasi ya sita, St Marry Mazinde Juu (Tanga) nafasi ya saba, Tabora Boys (Tabora) nafasi ya nane, Feza BOYS (Dar es Salaam) nafasi ya tisa na Kibaha ya Pwani iliyoshika namba kumi.


  1. Feza Girls
  2. Marian Boys
  3. Kisimiri
  4. Ahmes
  5. Marian Girls
  6. Mzumbe
  7. St Marry Mazinde Juu
  8. Tabora Boys
  9. Feza Boy
  10. 10.Kibaha

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here