Watalii wanawake 6 wadungwa kisu - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 15

Watalii wanawake 6 wadungwa kisu


Watalii wanawake 6 wadungwa kisu katika hoteli moja katika hoteli moja iliyopo katika pwani nchi Misri.

Polisi waliweza kumkamata mshambuliaji wa watalii hao .

Watalii wa kigeni 6 wanawake walijeruhiwa katika shambulizi hilo na waliweza kupelekwa hospitalini .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here