Habari za hivi punde: Kamati ya utendaji ya TFF yaahirisha uchaguzi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, July 2

Habari za hivi punde: Kamati ya utendaji ya TFF yaahirisha uchaguzi


Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.

Kichekesho hicho kimetolewa leo, ikiwa ni siku moja baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kufanya juhudi za Rais wa TFF, Jamal Malinzi afanyiwe usaili licha ya kuwa mahabusu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here