Kenya: Ndege iliowabeba waandishi wa habari yaanguka - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, July 13

Kenya: Ndege iliowabeba waandishi wa habari yaanguka


Ndege ndogo iliokuwa ikiwabeba waandishi habari ilianguka muda mfupi baada ya kupaa katika uwanja wa ndege wa Wilson Airpot mjini Nairobi kulingana na gazeti la Daily Nation.

Ndege hiyo aina ya Cessn ilikuwa imewabeba maripoa wawili na mpiga pich mmoja kutoka kituo cha ruminga ya Citizen ambao walikuwa wanaelekea kuchukua habari za muungano wa Upinzani Nasa katika eneo la Baringo.

Waandishi hao na wafanyikazi wa ndege hiyo wamepelekwa katika hospitali ya nairobi na wanadaiwa kuwa katika hali nzuri .

Gazeti hilo linasema kuwa kamanda wa polisi wa kitengo cha anagni Rodgers Mbithi alithibitisha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here