Mtangazaji wa Azam Tv Fatna Ramole ametoka katika Mazingira ya kutatnisha kwa muda wa siku mbili sasa. Ramole ambaye pia ni Mtayarishaji wa vipindi kwenye Televisheni hiyo ameripotiwa na Ndugu yake anayitwa Lulu ramole kwenye mtandao wa Picha wa Instgramu.
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment