Nchi hii imepiga marufuku uvutaji wa Sigara - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, July 23

Nchi hii imepiga marufuku uvutaji wa Sigara


Serikali ya Ufilipino yatangaza kupiga marufuku uvutaji sigara kote nchini baada ya rais  Rodrigo Duterte kutia saini sheria hiyo mpya .

Sheria hiyo mpya itazuia wavutaji sigara kufanya hivyo hasa katika maeneo ya umma kote nchini .

Mwanzo kabisa rais Duterte alianzisha maarufuku ya sigara mjini Davao  alipokuwa meya .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here