Breaking: Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, August 26

Breaking: Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha zimewaka moto



Muonekano wa mbele wa ofisi hizo huku moto ukiendelea kuwaka.

Ofisi za IMMMA Advocates zinazomilikiwa na  wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zilizopo Upanga jijini Dar es Salaam, zimewaka moto leo asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Chanzo cha moto huo na hasara iliyosababishwa, bado havijafahamika na habari zaidi zitaendelea kukujia.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here