Cristiano Ronaldo afungiwa mechi tano - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, August 14

Cristiano Ronaldo afungiwa mechi tano


Mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo afungiwa mechi 5 kwa kitendo cha kumsukuma mwamuzi alipompa kadi ya pili ya njano katika mechi ya Super Cup ya Hispania, mechi ya kwanza baina ya Barcelona na Real Madrid.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here