Ibada ya Hijja: Kiongozi wa Shia Tz ana taarifa hii muhimu kwako - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, August 31

Ibada ya Hijja: Kiongozi wa Shia Tz ana taarifa hii muhimu kwako


Katika kuelekea ibada ya hijja wananchi wametakiwa kulaani vitendo vya kialifu ikiwemo utekajii wa watoto vinavyojitokeza nchini. 
Akizungumza jijini Dar es salaam kiongozi wa kiroho wa dhehebu la shia-ithina sheria nchin shekh hemed jalala amesema wananchi wanatakiwa kushirikiana na jeshi la polisi kutokomeza vitendo hivyo kwa ni vitendo visivyokubalika na dini yeyote 

Amefafanua kuwa uharifu unaojitokeza nchini ni wa kukemewa vikali na kila kiongozi wa dini katika maeneo yao ya ibada 


Aidha Jalala amesema ibada hii ya hijja itumike kusuluisha matatizo mbalimbali na kuleta amani maeneo yasiyo na amani

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here