Man United yazidi kutakata, yaipiga Swansea City 4-0 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, August 20

Man United yazidi kutakata, yaipiga Swansea City 4-0



Jumamosi ya August 19 Man United walicheza game yao ya pili ya Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018 dhidi ya Swansea City, Man United walikuwa ugenini dhidi ya Swansea na wamefanikiwa kupata point tatu kwa ushindi wa magoli 4-0.

Ushindi wa Man United unakuwa ushindi wa pili mfululizo katika michezo yao miwili ya mwanzo ya Ligi Kuu England, beki wa timu hiyo anayotokea Ivory Coast Eric Bailly game ya leo imeandika historia mpya katika maisha yake kwa kutokana na kufunga goli lake la kwanza toka ajiunge na Man United.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here