Mwanamke atinga mitaani kutafuta mwanamume wa kumuoa - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, August 22

Mwanamke atinga mitaani kutafuta mwanamume wa kumuoa


Mwanamke angia mitaani kumtafuta mwanamume wa kumuoa Nairobi

Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa.

Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na bango lililosema.

"Ninahitaji bwana, nina mtoto msichana wa umri wa miaka saba"

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here