Rais wa Algeria amtimua Waziri mkuu - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Wednesday, August 16

Rais wa Algeria amtimua Waziri mkuu



Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amemfukuza kazi waziri wake mkuu Abdelmadjid Tebboune, ambaye aliteuliwa katika nafasi hiyo miezi isiyozidi mitatu.
.
Hakuna sababu zilizotajwa za kuondolewa kwake kazini, Lakini hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Rais kumtumia barua kali bwana Tebboune kutaka mabadiliko ya sera.

Tayari waziri mkuu mpya ametajwa kuwa ni Ahmed Ouyahia ambaye alikuwa mnadhimu mkuu wa Rais.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here