Kiongozi huyo amefariki katika moja ya hospitali nchini Uturuki alipokwenda kutibiwa.
Kwa mujibu habari,bwana Recepi alikuwa rais wa kwanza wa Kosova mnamo mwaka 2002 mwezi Machi.
Recep alisomea udaktari na kuishia kuwa rais wa kwanza wa nchi hiyo kupitia chama cha KDP.
No comments:
Post a Comment